Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 23, 2013

CHEKA NA ALANI KAMOTE WAPIGWA KWA K,O nchini Russia


BONDIA Francis Cheka mwishoni mwa wiki iliyo pita alichezea kichapo kutoka kwa Fedor Chudinov mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Dynamo Palace of Sports in Krylatskoye, Moscow,  nchini Russia

mpambano uho ni wa kwanza kuchapwa baada ya kutawazwa kuwa bingwa wa WBF mkanda ambao anaushikilia mpaka hivi sasa 

katika mpambano huo pia alicheza mtanzania m
wingine Alani Kamote na kupoteza kwa k,o ya rauni ya pili
mabondia hawo kwa sasa wanafunga dimba kwa mwaka huu kwa kufanywa  magunia ya mazoezi punch bag

ambapo tangia mwaka uhuu uanze zaii ya mabondi 16 wamesafili na kwenda kupigana nche lakini akuna ata mmmoja aliyerudi na ushindi zaidi ya kumaliza raundi na kupigwa kwa point ata hivyo mabondia hawa wakijengewa utaratibu wa kuwekewa kambi kwa ajili ya mazoezi ili wafanye vizuri mapambano ya nje na ndani kaili yanavyo patikana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...