Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 28, 2013

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI AENDA MUHIMBILI KUWAFARIJI WAGONJWA


 Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.Akiwa nachini Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali. Picha na Freddy Maro
 Juu na chini ni Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba (15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji  baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.
Rais akizungumza na mtoto huyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...