Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 14, 2013

MCHEZAJI WA MCHEZO WA MAPIGANO Muay Thai Emmanuel Shija ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Mpiganaji wa mchezo wa Muay Thai Emmanuel Shija Akiwa ameshika keki wakati wa sherekea  ya siku yake ya kuzaliwa  mchezaji wa mchezo huo wa mapigano ambao uwa anawakilisha taifa kila wakati katika nchi mbalimbali kwa kushiriki mapambano makubwa alizaliwa 12 December 1982
Mpiganaji wa mchezo wa Muay Thai Emmanuel Shija kulia akiwa mazoeziti nchini thailand kwa ajili ya kujianaa na mapambano mbalimbali

Mpiganaji wa mchezo wa Muay Thai Emmanuel Shija kulia akifunguliwa shampeni wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa
mchezaji huyo wa  mchezo wa mapigano ambao uwa anawakilisha taifa kila wakati katika nchi mbalimbali kwa kushiriki mapambano makubwa alizaliwa 12 December 1982
Kocha wa mchezo wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akichagua kipane cha keki kwa ajili ya kumlisha
Mpiganaji wa mchezo wa Muay Thai Emmanuel Shija
wakati wa sherekea  ya siku yake ya kuzaliwa  mchezaji wa mchezo huo wa mapigano ambao uwa anawakilisha taifa kila wakati katika nchi mbalimbali kwa kushiriki mapambano makubwa alizaliwa 12 December 1982
Mpiganaji wa mchezo wa mapigano wa  Muay Thai Emmanuel Shija akikata keki
Mpiganaji wa mchezo wa mapigano wa  Muay Thai Emmanuel Shija akiwa kwenye pozi
Mpiganaji wa mchezo wa mapigano wa  Muay Thai Emmanuel Shija katikati akifuraia kupata
CERTIFICATE OF PARTICIPATION (W.P.M.F. World Professional Muay Thai Federation spain
ambapo amekuwa mtanzania wa kwanza kupewa heshima ya kuendeleza mchezo huo nchini na duniani kwa ujumla 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...