Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 23, 2013

KASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K,O RAUNDI YA 4Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es salaam Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya nne ya mpambano huo Picha na superdboxingcoach.blogspot.com
Kanda kabongo akimuhuumia Japhert Kaseba
Bondia Omari Nampekecha 'peche boy' kushoto akipambana na hasani Kiware wakati wa mpambano huo nampekecha alishinda kwa pointi picha na superdboxingcoach.blogspot.com
Kaseba akiwa na familia yake pamoja na mashabiki baada ya kushinda mchezo wake
Bondia Pendo Njau kushoto akiwa na bondia Llulu Kayage wakati wa mpambano huo
mashabiki wakiangalia mpambano
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point picha na superdboxingcoach.blogspot.com
Wapiganaji wa mpambano wa Kick Boxing kareem kutch kushoto akipambana na Hassani Juma 'Tata Boy' wakati wa mpambano huo kutch alishinda kwa point picha na superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...