Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 26, 2014

East African Melody NA TWANGA PEPETA WAFANYA ONESHO LA PAMOJA MAX BAR

Wasanii wa bendi ya East African Melody wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Dar es salaam kushoto ni Ramla Seifu na Asia Hassani picha na
www.burudan.blogspot.com
Mpiga Drams wa  East African Melody Ramadhani Kiroboto akikung'uta Drams picha na
www/burudan.blogspot.com


Mwimbaji wa  East African Melody Sina Hassani akiwajibika wakati wa onesho la bendi yao picha na
www/burudan.blogspot.com


Waimbaji wa bendi ya twanga pepeta wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa max bar ilala bungoni kutoka kushoto ni Ramadhani Athumani 'Dogo Rama' Kalala Hamza 'Kalala JR'  na Lwiza Mbutu wakifanya vitu vyao picha na www.burudan.blogspot.com

wapiga magita wa bendi ya twanga pepeta kushoto ni God Kanuti na Miraji Shakashiawakifurumusha mipini wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa max bar ilala bungoni picha na www.burudan.blogspot.com

Kiongozi wa bendi ya twanga pepeta Lwiza Mbutu akicheza sambamba na wanenguaji wa bendi hiyo

waimbaji wa bendi ya twanga pepeta lwiza mbutu na Kalala Hamza wakicheza sambamba na wanenguaji wa bendi hiyo wakati wa onesho lao lililofanyika max bar ilala bungoni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...