Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 17, 2014

KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM DODOMA, BERNARD MEMBE AHOJIWA Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete, akiongoza Kikao cha kamati Kuu mjini Dodoma leo mchana.
 Baadhi ya wjumbe wa NEC, wakiwa ndani ya ukumbi wa CCM katika Kikao cha Kamati kuu.
 Baadhi ya wjumbe wa NEC, wakiwa ndani ya ukumbi wa CCM katika Kikao cha Kamati kuu.
 Baadhi ya wjumbe wa NEC, wakiwa ndani ya ukumbi wa CCM katika Kikao cha Kamati kuu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (NEC) Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi CCM Makao Makuu Dodoma baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama na kuongeza kuwa na bado wapo wengi watakao hojiwa.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (NEC) Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi CCM Makao Makuu Dodoma.

 Kikundi cha uhamasishaji cha vijana wa CCM, kikitoa burudani kwa nyimbo zake za kwaya na kuwapagawisha baadhi ya Wabunge.
 Mbunge, faida, akiserebuka na miondoko ya kwaya.....
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwajibika kuandika stori baada ya kuzungumza na Bernard Membe...nje ya Ukumbi wa CCM.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwajibika kuandika stori baada ya kuzungumza na Bernard Membe...nje ya Ukumbi wa CCM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...