Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 21, 2014

RAIS A ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA BIASHARA ZA NJE WA UHOLANZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

Wawekezaji katoka Nchini Uholanzi wakizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pamoja na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ziara ya siku  moja.   Picha  na Ramadhan Othman, Ikulu.


 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...