Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 17, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI TANZANIA (MVIMAUTA)


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  akiwa na mwasisi wake  Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission  International  na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam  Jumamosi, Februari 15, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa  kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  iliyoasisiwa na   Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission  International  na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam  Jumamosi, Februari 15, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada  ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  iliyoasisiwa na   Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission  International  na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam  Jumamosi, Februari 15, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na msanii wa vichekesho ambaye  pia ni mhubiri  na mwimbaji wa nyimbo za injili Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji  baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  akiwa na mwasisi wake  Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission  International  na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam  Jumamosi, Februari 15, 2014. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...