Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 24, 2014

WAZIRI DR MAHEGE KUKATA MZIZI WA FITANA IRINGA JUU YA UJENZI WA STENDI YA KISASA


Waziri  wa nchi  ofisi ya  makamu  wa  Rais mazingira  Dr Binilith Mahenge akizungumza na  viongozi wa  mkoa wa Iringa leo kabla ya  kutembelea eneo la ujenzi wa stendi ya  kisasa Igumbilo
Mhandisi wa manispaa ya  Iringa Mashaka Luhamba kulia akitoa maelekezo kwa waziri Dr Mahenge wa tatu kushoto leo
waziri Dr Mahenge  akiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma  kushoto na mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa  Bi Terresia Mahongo  kulia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...