Marquee
tangazo
Monday, July 16, 2012
CUF YASHINDA VIJIJI 5 NA VITONGOJI VITANO UCHAGUZI WA MARUDIO RUFIJI
CUF-Chama cha Wananchi kimejinyakulia jumla ya vijiji 5 na vitongoji 5 kwenye chaguzi za marudio katika wilaya ya Rufiji.Matokeo yaliyotangazwa rasmi jana ambapo yalikuwa ni ya uchaguzi wa serikali za vijiji 12 na vitongoji 15.
Katika matokeo hayo matokeo ya kitongoji 1 yalifutwa wakati matokeo ya vijiji vitatu yamefutwa baada ya wagombea ya gombea wa CUF kuenguliwa kutokana na mapingamizi mbalimbali yaliyowekwa na vyama pinzani na matokeo kuwa na utata.
Hata hivyo CUF walinyakua vijji vitano,CCM nane na Chadema vitatu.Kwa upande wa vitongoji CUF wamepata vitongoji vitano ,CCM tisa ,Chadema hawakuambulia kitu.Hata hivyo matokeo ya kitongoji kimoja yalifutwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment