Mkurugenzi
Mtendaji wa Chemi Cotex Industries, Lakshmi Narayan Rathi (wa pili
kushoto) alipokabidhi zawadi ya kombe kwa wanafunzi wa shule ya Pendo
English Medium ya jijini Mwanza, walioibuka mabingwa wa Whitedent School
Quiz iliyofikia tamati huko jijini humo jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Chemi Cotex Industries, Lakshmi Narayan Rathi (kushoto),
akikabidhi zawadi ya vocha yenye thamani ya shilingi milioni 1 ya
ununuzi wa vifaa vya shule kwa wanafunzi wa shule ya Pendo English
Medium ya jijini Mwanza, walioibuka mabingwa wa Whitedent School Quiz
iliyofikia tamati huko jijini humo jana.
No comments:
Post a Comment