Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali walifika huko Mangapwani na kupata historia ya Kisima cha chini kwa chini kwa Mkuu wa huduma za Elimu Makumbusho Mwalimu Ramadhan Ali
Hichi ndio kisima cha Chini kwa chini kilichokuwepo huko Mangapwani Mkoa wa kaskazini Unguja.
Waandishi wa Habari wakiwa Ndani ya Kisima cha Chini kwa chini chenye Urefu wa zaidi ya Kilomita moja katika kila pembe ya ndani ya kisima hicho
Wanahabari wakiingia ndani ya Handaki lililojengwa na Utawala wa Kikoloni kwa ajili ya kujilinda na Vita Mwaka 1939-1945
Hili ndilo handaki lililojengwa na Utawala wa Kikoloni kama linavyoonekana kwa ndani
Hii ni nyumba ya chini kwa chini iliojengwa na Waarabu kwa ajili ya maficho ya Watumwa baada ya kupigwa marufuku Biashara hio mwaka 1873 huko katika kijiji cha Mangapwani kaskazini Unguja.Chanzo; Zanzinews Blog
No comments:
Post a Comment