Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 13, 2013

BREAKING NEWS:DR SENGODO MVUNGI AFARIKI DUNIA MCHANA


Taarifa zilizotufikia dawati letu la habari Muda huu kutoka kwa Mdau wetu Chrispine Selenga Nyagawa zinasema kuwa Dr Sengodo Mvungi amefariki dunia Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu mchana leo akiwa katika Hospitali ya Milpark iliyopo Afrika Kusini Alipopelekwa Kwaajili ya Matibabu zaidi Kutokana na Kujeruhiwa na watu wanaodhaniwa kuwa Ni Majambazi walipovamia nyumbani kwake.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.

Tutaendelea kuwajuza kadri taarifa zinavyotufikia na tunaendelea kufuatilia habari hii.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...