Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 10, 2013

MASWALI YA LADY JAY DEE KWENYE NYIMBO YA YAHAYA YAMGUSA HARD MARD NA KUAMUA KUYAJIBU

Maswali ya Lady Jay Dee kwa Yahaya yamemgusa Hard Mard na kuamua kuyatolea majibu.Hardmard ameachia wimbo alioupa jina ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika u-Yahaya . Wimbo huo uliotumia mdundo uleule wa hit ya 'Yahaya', umetayarishwa katika studio za Over Classic jijini Mwanza ambapo ni ndipo yalipo maskani ya Hard Mad hivi sasa. Haijajulikana bado kama Hard Mad aliongea na Jide ama vipi, endelea kufuatilia hapa. 
Isikilize hapa 'Naishi Ghetto'

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...