Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 11, 2013

MAKAMUZI YA BENDI YA EXTRA BONGO YALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVEKiongozi wa bendi hiyo, Ally Choki, akiimba.
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ya jijini Dar es Salaam jana iliwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam.
 
 …Ally choki akimpiga tafu ya kunengua mnenguaji wake.
Kiongozi wa wanenguaji, Super Nyamwela (katikati) akinengua.
Rapa wa bendi hiyo, Saigon, akionyesha umahiri wake wa kurap ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...