Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 13, 2013

WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL 2013 WAENDELEA KUJIFUA NA MAZOEZI


  Baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Model 2013 kati ya washiriki wote 14 wameanza mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo katika Hoteli ya JB Belmont kujiandaa na mchuano wa kuwania taji la uanamitindo bora wa mwaka 2013.
 Wanamitindo hao wako na hali ya mashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva kimazoezi.
Wanamitindo hao wakijifua.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...