Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 14, 2013

SALHA ISRAEL ATEMBELEA KAMBI YA TANZANIA TOP MODEL 2013 Salha israel mrembo alieng'ara miaka ya 2011 katika mashindano ya urembo nchini,akiongea na washiriki wa Tanzania Top Model 2013 namna ya kujiamini wakiwa katika jukwaa na kujibu maswali endapo watakabiliana na vyombo vya habari.


Washiriki wakimsikiliza kwa makini Salha Israel wakati akiongea nao.
 Washiriki wakiwa katika picha ya paoja na Salha israel.
   Salha Israel.
 Sahaa  and friends.
 Catwalk..one two..one two.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...