Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 13, 2013

NYAWANA FUNDIKIRA ASAFILISHWA KUZIKWA TABORA JUMANNEMwili wa Aliyekuwa msanii wa kundi la taarabu la Tanzania Morden Taarabu T moto Nyawana Fundikira ukingizwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirisha nyumbani kwao Tabora kwa maziko picha na www.burudan.blogspot.com
Mume wa marehemu Nyawana Fundikira Kais Mussa Kais akiojiwa na mwanne Athumani wa EATV picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya marafiki wa kais mussa kaisi  wariohudhulia msiba huo kutoka kushoto ni  Robart Kiatu,Mohamed ngusura, Benny Mtwanga ,rama makoa wazee wa USAMA CAMP UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO  picha na www.burudan.blogspot.com

 Marafiki wa kais mussa kais wakipiga stor mbili tatu wakati wa kusafirisha mwili wa marehemu nyawana fundikiraBaadhi ya waandishi wa habari wakichukuwa matukio mbalimbali  picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...