


TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
For
immediate release
STARTIMES KUBURUDISHA WATEJA WAKE MSIMU HUU WA
SIKUKUU
22 Novemba2013,Dar-Es- Salaam:
Kampuniinayoongoza Tanzania katika TV zadigitali, Star Media
Tanzania inayojulikanakama “StarTimes”
inayoendeleakuburudishanakuelimishamamiayamaelfuyaWatanzaniainatangazauzinduziwapromosheniyakeyamsimuwasikukuukuanzia18
Novemba 2013 hadimwishowaJanuari 2014.
"Tungependakuwazawadiawatejawetuwamudamrefuna wale
wapyakatikamsimuhuuwasikukuukwakuwapamachaguomengizaidiyavituovinavyoangaliwasana,
pamojanazawadinyinginezo. WatejawatakapowekaTsh 80,000 katikapromoshenihii,
watapatasimuyamkononiyenye line mbiliainaya M35 StarTimesambayoinatoahudumaya
TV zadigitalipopoteulipo.'' alisemaKaimuAfisaMtendajiMkuuBw. Jack Zhou.
WatejawaStarTimespiawatapewamwezimmojawaburewakuangaliakifurushi
cha juuzaidi “Kili” chenyethamaniyaTsh 40,000 watakaponunuaking’amuzi.
ZawadinyinginewatakazopatawatejawatakaowekaTsh 40,000 nipamojanafulana,
mafutayakupikia au mchele.
Mr Zhou
alielezeazaidiahadiyaStarTimesyakuwatumikiaWatanzaniakwakuwapatiamatangazoyadigitaliyenyeuborawahaliyajuukatikamahitajiyaainambalimbali.
"Tunaonafaharikuwanazaidiyavituo 70 nahivikaribunitumeongezavituovitatuvyaFilamuviitwavyo,
Star One
ambachohuonyeshafilamuzilizotokahivikaribunizikiwemozilizofanyavizurikimauzo
Hollywood, Star Movie 1 + 2, na Star Africa ambachohuonyeshafilamuzaKiafrika.”
AliongezaBw. Zhou.
VituovinginenipamojanaSentanta Action ambayoitakuwakivutiokwamashabikiwandondina
FLN (Fine Living Network), ambayoitalengamasualayoteyamienendoyamaishayakisasa.Watotowataburudishwanakuelimishwakupitia
"Jim Jam" namatangazoyataarifazahabariyatapatikanakwenyevituoviwilivilivyoongezwahivikaribuni,
Fox News na Bloomberg.
KatikakutimizaahadiyaStarTimesyakuongezavipindikutokanyumbani,
SibukaMaishaitakuwainarushamchezowakuigizawa Kiswahili- 'High Heels"
mwanzonimwaDesemba. Ili kupatakituohii,
watejawatatakiwakulipanyongezayakilamweziyaTsh 3,000 tu.
Katikahatuanyingine, StarTimesinapanuahudumazakekwendamikoamitatuzaidi,
ambayoniMusoma, TaboranaSingida.
HukoMusoma, TaboranaSingida,
matangazoyakohewanikwasasawakatihukoKahamanaBukobawatazamajiwatawezakupokeahudumazaStarTimesmwishonimwaNovemba.
HiiitafanyaidadiyaofisizaStarTimeskufikia 14 nakuifanyaStarTimeskuwanikampuniya
kwanza ya TV zadigitalikufanyashughulizakekatikamikoamingizaidinjeyaDar es
Salaam.
TanguStarTimesilipozinduliwanchini Tanzania,
kampuniimewekezazaidiyaDolazaKimarekanimilioni 265 nainabakiakuwakampuniyaving’amuziinayopendelewazaidinawatumiajiwamajumbani.
Utawala wake
katikasokoniushahidiwahudumazakezahaliyajuukwawatejanaorodhayakendefuyavituo.
KUHUSU STARMEDIATANZANIA
Star Media (Tanzania) Limited (jina la
biashara - "StarTimes") ilizinduliwanchiniTanzania mwaka2009.Imewekaniayakuiwezeshakila
kaya nchini Tanzania iliiwezekupatamatangazoya TV yadigitalikwabeinafuu,
yenyeuboranawawezekuyafurahia.
WatejawanawezakupataStarTimesnchinikotekwakupitiaving’amuzinakwaDar
es Salaam naArusha, wanawezapiakupatakwakupitiasimuzamkononi, TV ndogona TV
zakwenyemagari.
Star Media mpakasasaimetengenezaajira370
zamojakwamojanaajira1750kwanamnanyingine.
Ni sehemuyaStar Media; kampuniinayoongozakatikakutoahudumazaTV
zadigitalinchini China. Star Media inakampuni10 baraniAfrika: Kenya, Burundi, Tanzania,
Guinea, Nigeria, Uganda, Rwanda, Afrikaya Kati, Msumbijiand DRC. HivikaribuniitafunguakampuniAfrikayaKusini,
Malawi naGhana.
KWA MAWASILIANO:
David Kisaka
Simu:
0717073495
Baruapepe:davidkisaka@yahoo.com
Kwamaelezozaiditembelea:www.startimes.co.tz/
kwenyeface book natwitter:TZStarTimes
No comments:
Post a Comment