Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 19, 2013

TMF YAENDELEA KUWANOA WANAHABARI JUU YA UBORESHAJI WA UANDISHI WA MITANDAONI


 wezeshaji  toka  TMF  Bw  Sanga  akiwapongeza  washiriki  kwa ushiriki  wao mzuri  leo
Mmoja  kati  ya  watenda kazi wa TMF Bi Joyce akiwajibika leo
 Mwezeshaji  Beda Msimbe  akiendelea  kuwanoa  wanahabari  wamiliki wa mitandao ya  kijamii nchini ambao  wanapatiwa mafunzo  na  TMF
Wanahabari  wa vyombo mbali mbali na  wamiliki wa mitandao  ya  kijamii (Blog) wakiendelea na mafunzo  yao ya siku nne  katika  ukumbi wa Dodoma  Hotel  leo,mafunzo  yaliyolenga  kuboresha uandishi wa mitandao ya kijamii
Wanahabari  wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini Dodoma
Mmoja  kati ya  wawezeshaji  wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo  wanahabari wamiliki wa blog ili  kuzingatia  maadili katika kutumikia vyombo  hivyo nchini
Mwanahabari Brandy  Nelson  akijitambulisha  kabla ya mafunzo  hayo ya TMF  ambayo bila  shaka  yataongeza ubora  wa blog  nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...