Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 20, 2012

BONDIA MANENO OSWARD AMTWANGA RASHIDI MATUMLA

Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

NI MAWE MSASUMBWI KWA KWENDA MBELE NGUMI NGUMI
MANENO OSWARD AKIJARIBU KUTUPIANA NGUMI ZA MABISHANO NA RASHIDI MATUMLA YANI NIPE NIKUPE MPAKA MWISHO WA MCHEZO MANENO ALIBUKA MSHINDI KWA POINT.Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...