Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 24, 2012

KIKOSI CHA YANGA CHATINGA IKULU YA RAIS KAGAME


 Rais wa Rwanda, Paul Kagame akisalimiana na mjumbe wa bodi ya udhamini ya klabu ya Yanga wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa klabu hiyo walipofika Ikulu ya jijini Kigali. (Picha zote na Saleh Ally)
 Rais Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na kocha Mkuu wa Yanga, Tom Saintfiet wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa timu hiyo walipomtembelea Ikulu jijini Kigali.  


 Rais Paul Kagame wa Rwanda akipokea Kombe la klabu Bingwa Afika Mashariki kutoka kwa Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' na kocha wa Yanga, Tom Sainrfiet
Kikosi cha Yanga pamoja na viongozi wake wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda, Poul Kagame (katikati)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...