Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 24, 2012

YANGA WALIVYO ZURU MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA, Huku wakianza mazoezi.


Yanga wakiwasili katika makaburi ya mauaji ya kimbari mjini kigali
Viongozi wa yanga wakisubiri kuzuru na kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari mwaka 1994.
wachezaji na viongozi wa yanga wakipata maelezo kabla ya kuingia kutembelea nyumba ya makumbusho ya mauaji ya kimbari
mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa yanga, fatma karume akiwaongoza viongozi na wachezaji wa yanga kwenda kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari katika eneo la gisozi jijini kigali
Wachezaji wa yanga wakiwa mazoezini nchini Rwanda.
 Picha na Saleh Ally wa Champion.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...