Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 24, 2012

UCHAGUZI UVCCM LINDI UNAENDELEA.


Mkuu wa wilaya ya Lindi Dr Nassor Hamid, akihutubia wajumbe ambao wapiga kura katika uchaguzi huo wa CCM Wilayani kwake uliofanyika Katika Ukumbi wa Hotel ya Lindi Oceanic.
Wajumbe mbalimbali kutoka katika kata 18 za wilaya ya Lindi Mjini waliohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Mkoa ambao unachagua viongozi mbalimbali wa jumuiya ngazi hiyo ya wilaya.
Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Wilaya ya Lindi Mjini (UVCCM) Ndugu Juma Seif Bahatimbaya (kushoto) na Ndugu Said Rashid Namponda.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...