Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 24, 2012

Waziri Mkuu Pinda aagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha ya simba, Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini aliyemaliza muda wake, Young- Hoon Kim, ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu Agust 23 2012 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Young-Hoon Kim, ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam Agust 23, 2012 kuaga. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...