Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 21, 2012

Lunduno FC yanyakua kombe kwa panalt 6-5 za timu ya Nachingwea.Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananziraakikabidhi kikombe cha IMRAN Kwa Nahodha wa Timu ya Lunduno Fc baada ya kuibugiza  Timu ya Nachingwea kwa mikwaju ya penalti na kupata
jumla ya mabao 6 kwa 5
 Kikosi kilicho twaa ubingwa huo cha Timu ya Lunduno kikiwa kwenye picha ya pamoja na mashabiki wao.
Mdhamini wa Mashindano hayo Imran Traders,Mahamood Dhalla akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovic Mwananzila na mratibu wa Mashindano hayo,Abdulaziz Ahmeid muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi katika uwanja wa Ilulu.
Mratibu wa Mashindano ya IMRAN CUP ,,Abdulaziz Ahmeid akitoa taarifa fupi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusiana na mashindano hayo yaliyoanza mwaka huu na kushindaniwa kila mwaka katika Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Ni kwa hisani ya Mdau Ahmed Abdullaziz Lindi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...