Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 24, 2012

Chama kipya Cha Siasa nchini ADC leo kimefanya uhakiki wa mwisho jijini Dar. Wanachama wajitokeza kwa wingi . Viongozi wafurahia ufanisi. Baadhi ya wanachama waliojitokeza kwenye zoezi la uhakiki wa Chama Kipya Cha Siasa nchini (ADC) wakisubiri zamu yao kuhakikiwa na maofisa wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya Wanachama waliojitokeza ambapo jijini Dar es Salaam pekee wamepata wanachama zaidi ya 400, ikiwa ni sehemu ya mwisho kufanyiwa uhakiki ili kupata usajili wa kudumu.
 Maofisaa wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini wakihakiki kadi za wanachama na taarifa zao kwenye zoezi hilo jijini Dar es Salaam leo.
Afisa wa ofisi ya msajili (kushoto) akisoma majina ya watu wanaotakiwa kufanyiwa uhakiki leo jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...