Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 27, 2013

AISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WA MASJIDI IDRISA KARIAKOO

Wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es salaam ambao wameweka kambi ya kujisomea katika Msikiti wa Idrisa Kariakoo Dar es salaam wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditio Aisha Sululu kulia baada ya kuwakabizi magodoro na Mashika kwa ajili ya kulalia wawapo katika masomo yao ya ziadi picha na Blog ya SUPER D

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia  Picha na Blog ya SUPER D

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia  Picha na Blog ya SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...