Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 21, 2013

Mashindano ya kusoma Quran tukufu kitaifa yamalizika
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake leo


Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo

Baadhi ya viongoza wa Dini wakifatilia mashindano hayo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee

Baadhi ya wanafunzi walioshiliki katika kusoma

Quran tukufu


Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Ummy Swaleh Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo

Baadhi ya waumini wa Dini Ya Kislam wakiongozwa na Bi,Aisha Sururu wakifatilia Mashindano Hayo

Bi Aisha Sururu akifatilia mashindano hayo yaliyomalizika leo
Zawadi walizopewa washindi

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf katikati na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi wa chereani mshindi wa kusoma juzuu 20

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf kulia na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi ya bajajji  pamoja na pesa taslmu laki tano mshindi wa kuhifadhi Quran tukufu, Suria Ally Bakari leo

Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf  kulia akimkabidhi mshindi bajaji na pesa taslimu laki tano mshindi Abdul Hamid


Baadhi ya washindi wa kuhifadhi Quran Tukufu wakiomba Duwa baada ya kumalizika mashindano hayo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...