Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 26, 2013

Taswira:Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Afuturisha Baadhi ya Viongozi wa Dini Mbalimbali na Serikali wa Lindi  Baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali na serikali wa Lindi wakishiriki katika futari rasmi ilyoandaliwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete katika makazi yake mjini Lindi tarehe 25.7.2013.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa dini mbalimbali wa Lindi baada ya kuwaandalia futari nyumbani kwake hapo mjini Lindi tarehe 25.7.2013
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na baadhi ya akina mama walioshiriki futari aliyowaandalia nyumbani kwake mjini Lindi tarehe 25.7.2013. Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...