Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 18, 2013

Waziri Dk. Magufuli akagua ujenzi wa Barabara ya Km 60 ya Ndundu-Somanga


Waziri wa Ujenzi Dr.John Magufuli (kushoto) akisikiliza maelezo ya ujenzi wa barabara kutoka  Ndundu-Somanga (km 60) mkoani Pwani jana kutoka kwa Mhandisi  Mkazi kutoka kampuni ya ESG (Mouchel Parkman )alipotembelea kuangalia maendeleo ya ujenzi huo ambapo hadi sasa wameshalipwa  kiasi cha shilingi 59 bilioni. PICHA ZOTE/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO
Shughuli za ujenzi mbalimbali wa barabara hiyo zikiendelea.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(mwenye pama katikati)   akitoa maagizo kwa meneja wa mradi wa ujenzi pamoja na Mhandisi mkazi wa mradi huo hawapo pichani  jana alipotembelea mradi huo jana,ambapo Waziri Magufuli mna  mwenedo wa kususua wa ujenzi huo. (kushoto) Ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Herbet Mrango.(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dsm Mecky Sadick.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na baadhi ya wanakijiji wa Malendego wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa mradi ya barabara ya Ndundu- Somanga(km 60). Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Mhandisi Mfugale.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Malendego mkoani Pwani wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...