Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 20, 2013

RAGE AGEUKA SHUJAA MKUTANO WA SIMBA, WAFANYIKA KWA SAA MOJA Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili asubuhi na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam leo, ambapo wanachama zaidi ya 700 walihudhuria mkutano huo. (Pcha zote na Habari Mseto Blog)
Mwanachama wa Simba kutoka Iringa akiuliza swali katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (kushoto) akifuatilia mkutano huo.
 Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika mkutano huo.
Wanachama wa Simba wakimpongeza Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. 
 Wanachama wa Simba wakionyesha furaja yao kwa Mwenyekiti wao baada ya mkutano kumalizika.
 Tuko pamoja Mwenyekiti.....
 Hongera sana.....
 Kila mwanachama alikuwa na shauku ya kutaka kusalimiana na Rage baada ya kufunga rasmi Mkutano Mkuu wa Simba leo asubuhi.
 Asanteni sana, hapa Rage anaonekana kama akisema.
Rage akisamiliana na Mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali baada ya kumalizika kwa mkutano.
 Rage akitoka katika ukumbi wa mkutano.
Wanachama wa Simba wakimpongeza Rage baada ya kufunga rasmi mkutano Mkuu wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...