Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 20, 2013

URA YAIFUNGA SIMBA 2-1


 Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akichuana na beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick  katika mchezo wa kimatifa wa kirafiki uliofanyika le okwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA imeshinda 2-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akitafuta mbinu za kumtoka beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...