Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 17, 2013

GAPCO TANZANIA WASHEREKEA SINGIDA

Baazi ya wafanyakazi wa Promosheni wa Kampuni ya Gapco Tanzania Limited wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipofika mkoa wa SIngida timu hiyo inatangaza bidhaa ya Gapco relstar Oil katika mikoa yote ya tanzania bara picha na SUPER D
HApa wakijipongeza kwa kula misosi

Wakiwa katika picha ya pozi

Baazi ya wafanyakazi wa Promosheni wa Kampuni ya Gapco Tanzania Limited wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipofika mkoa wa SIngida timu hiyo inatangaza bidhaa ya Gapco relstar Oil katika mikoa yote ya tanzania bara picha na SUPER D
Wakipiga hesabu

Wakiburudika na burudan zilizokuwa zikitolewa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...