Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 23, 2013

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' IDDY MNYEKE WAENDELEA NA MAZOEZI KWA AJILI YA MECHI Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akipambana na Iddy Mnyeke wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Amana CCM mabondia hawo wanafanya mazoezi kwa ajili ya mashindano yao yatakayo fanyika baada ya kumarizika mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D

Bondia Iddy Mnyeke  akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D

Bondia Iddy Mnyeke  akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani kulia ni kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli 'Masta' Picha na BLOG YA SUPER D
Bondia Omari Bai kushoto akisimamiwa kupiga begi na Kocha Kondo Nassoro wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Picha na BLOG YA SUPER D

BONDIA IDDY MNYEKE AKIWA KATIKA POZI
Bondia Iddy Mnyeke  akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D
Bondia Iddy Mnyeke  akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D
IDDY MNYEKE
BONDIA OMARI BAI AKIPIGA BEGI
Bondia Omari Bai kushoto akisimamiwa kupiga begi na Kocha Kondo Nassoro wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Picha na BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...