Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 23, 2013

WAANDISHI WATEMBELEANYUMBA YA AIRTEL YATOSHA- KIGAMBONI


 MENEJA MAWASILIANO wa shirika la nyumba la  Taifa Bw, Yahaya Charahani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati ambapo waandishi hao walitembelea eneo la kibada wilaya ya Temeke kujionea Nyumba 3 zinazoshindaniwa katika promosheni ya Airtel Yatosha. Nyumba hizi zimenunuliwa na Airtel toka shirika la nyumba la taifa kwaajili ya promosheni ya AIRTEL shinda Nyumba.kulia ni Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati ambapo waandishi hao walitembelea eneo la kibada wilaya ya Temeke kujionea Nyumba 3 zinazoshindaniwa katika promosheni ya Airtel Yatosha. Nyumba hizi zimenunuliwa na Airtel toka shirika la nyumba la taifa kwaajili ya promosheni ya AIRTEL shinda Nyumba 3
 Mmoja wa waandishi wa Habari wa ITV/radio one bw, Juma Kapalatu akiwapongeza Meneja uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando na kati Meneja Mawasiliano wa NHC bw, Yahaya Charahani. mara baada ya kujione baadhi ya nyumba zinazoshindaniwa na wateja wa Airtel. Wakati i ambapo waandishi hao walitembelea eneo la kibada wilaya ya Temeke kujionea Nyumba 3 hizo za Airtel Yatosha. Nyumba hizi zimenunuliwa na Airtel toka shirika la nyumba la taifa kwaajili ya promosheni ya AIRTEL shinda Nyumba 3.
WAANDISHI WATEMBELEANYUMBA YA AIRTEL YATOSHA- KIGAMBONI Pichani ni baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari nchini walipotembelea i moja kati ya Nyumba 3  zinazotarajiwa kutolewa katika promosheni ya AIRTEL YATOSHA  mwishoni mwa mwezi huu. Nyumba hizi ziko wilaya ya temeke eneo la Kibada ambapo zimenunuliwa na Airtel toka shirika la nyumba la taifa kwaajili ya promosheni ya AIRTEL shinda Nyumba 3

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...