Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 27, 2013

UBALOZI WA MAREKANI WAIPONGEZA TTCL KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO WAKATI WA UJIO NA UWEPO WA RAIS BARACK OBAMA HAPA NCHINI.

Uongozi wa TTCL pamoja na wawakilishi wa Ubalozi wa Marekani
hapa nchini katika picha ya pamoja

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL dkt. Kamugisha Kazaura akipokea
cheti cha shukrani kutoka kwa Kiongozi wa ujumbe kutoka ubalozi wa
Marekani hapa                   nchini Bw. Jeff Shrader

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...