Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 26, 2013

MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI YAFUNGWA RASMI LEO


.WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI AKIKAGUA GWARIDE LA WAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO LEO KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP). TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA.
ASKARI POLISI WALIOHITIMU MAFUNZO, WAKIONYESHA PIKIPIKI INAVYOWEZA KUSAIDIA KATIKA KUKABILIANA NA WAHALIFU KWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI KWA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI LEO MJINI MOSHI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA.
WASANII WA KIKUNDI CHA NGOMA CHA CHUO CHA POLISI MOSHI WAKITOA BURUDANI LEO MJINI MOSHI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI KWA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA. 
MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).

MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIJIANDAA KUVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).

KIKUNDI CHA KARETI NA JUDO CHA WAHITIMU WA MAFUZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI WAKIFANYA ONYESHO LA KARETI KWA MGENI RASMI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...