Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 17, 2013

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKIISHI WA UNICEF TANZANIA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya wa Shirika hilo Mama FrancescaMoranditi, (hayupo pichani). (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Mama Francesca Moranditi, alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
 Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid, (katikati) alipokuwa akimtambulisha Mama Francesca Moranditi, (kushoto) kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...