Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 12, 2013

Parokia ya Kitunda yamkaribisha Baba Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la DSM Titus Mdoe

Muumini Anitha Mseti ambaye pia ni mfadhili wa Kwaya ya Familia Takatifu Kitunda akimshika mkono Askofu Msaidzi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe kumkaribisha Parokiani Kitunda baada ya kipaimara kwa watoto 198.Watoto walioata kipaimara Kanisa Katoliki Parokia ya Kitunda Watoto wa Utoto Mtakatifu Parokia ya Kitunda wakisalimiana na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mhashamu Titus Mdoe.

Makamu Mwenyekti wa Kitunda,Bi. Nancy Peter akiongoza akinamama kumshika askofu mkono wa kumkaribisha Parokia ya Kitunda kutoa asimikwe kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam, Titus Mdoe.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu,Titus Mdoe (katikati) na Paroko wa Parokia ya Kitunda, James Mweyunge (kuhoto) wakipewa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa litakalogharimu Sh. bil. 1.6 yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Ujenzi, Bw. Simon Dorongo.Nyuma ya Paroko ni Mweyekiti wa Walei Parokia ya Kitunda, Dkt.Donald Antony Mwiturubani (Picha na Peter Mwenda).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...