Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 21, 2013

FILAMU ZA UYOGA NA MIMI NA MUNGU WANGU ZAKIMBIZA MTAANI

imekuwa gumzo mtaani kutokana na faida ya mafundisho ya mchezo huo wa filamu iliyotengenezwa kwa ubora wa ali ya juu na wahusika kuvaa ualisia wa jkweli katika filamu hiyo
ukizungumzia filamu ya mimi na mungu wangu filamu hambayo muhusika mkuu ni Tino Muya imenderea kufanya vizuri kutokana na mabadiliko ya msanii huyo kushiliki katika filamu nyingi za mapenzi na sasa kuingia katika filamu za mapigano ambapo kabla ya hii filamu nyuma alitoa filamu inayo kwenda kwa jina la CID ambayo ilifanya fizuri tu kutokana na mabadiliko yake katika kujiweka sawa na kuwa msitali wa mbele kwa mabadiliko ya sanaa nchini

Mimi na mungu wangu ni kielelezo toshwa kwa msanii huyo kuwa amekuja kivingine zaidi kutokana na mwenendo wa filamu zake kwa sasa


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...