Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 23, 2013

KINANA AMTEMBELEA MSUGULI NYUMBANI KWAKE BUTIAMA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Jenerali David Msuguli,nyumbani kwa Jenerali ,Butiama mkoani Mara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman  Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakizungumza na Jenerali aliyeongoza majeshi ya Tanzania wakati wa vita ya Kagera Jenerali David Msuguli .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akifurahia jambo na Jenerali David Msuguli ,Katibu wa NEC Itkadi na Uenezi na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana wapo kwenye ziara ya mkoa wa Mara ukiwa ndio mkoa wa mwisho katika ziara yao ya mikoa mitatu iliyojumuisha mkoa wa Shinyanga na Simiyu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...