Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 17, 2013

Waziri aagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya WaziriMkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe. William V. Lukuvi   (MB)akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kituo cha Mpanda Bw. Nahoda Khatib (wakatikati)wakati wa Ziara yake kikazi katika Mkoa wa Katavi iliyoanza jana tarehe 16 Septemba,2013. Kushoto (mwenyetai) ni Bw. C. Sadda Meneja Usafirishaji Kanda ya Tabora.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi (MB) akikagua Soko la Kimatifa la Mahindi la Isunta katika Wilaya ya Nkasi akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea sehemu za Ununuzi na Uhifadhi Mahindi nchini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...