Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 19, 2013

MUIGIZAJI NYOTA WA FILAMU KUTOKA NCHINI GHANA, VAN VICKER ATUA JIJINI DAR ES SALAAM, TAYARI KWA KAZI


 

Pichani ni Mwanadada Irene ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye anga ya Bongo Muvi,hapa alikuwa kwenye lokesheni,akiigiza kwenye moja ya filamu yao mpya na Muigizaji mahiri kutoka nchini Ghana, aitwaye Van Vicker,kama walivyonaswa a Globu ya jamii mapema mchana huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar.Pichani kulia ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania,TAFF akiwa sambamba na baadhi ya Waigizaji wa filamu hapa nchini, Irene, mdau sambamba na Muigizaji mahiri wa filamu kutoka nchini Ghana,Van Vicker wakijiandaa kucheza muvi yao mpya,ambayo bado hawajaitaja jina.

WASANII WAKIMPOKEA MWENZAO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...