Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 23, 2013

NSSF YAINGIA MKATABA NA UCHUMI SUPERMARKETS
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), akibadilishana hati na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya NSSF, Abubakar Rajabu akitoa neno wakati wa hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Human Capital Business Solutions, Khadija Mire.
 Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula akizungumza katika hafla hiyo. 
 Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya NSSF, Abubakar Rajabu akisaini nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Human Capital Business Solutions, Khadija Mire.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), akisaini makubalino ya ushirikiano na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), akibadilishana hati na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano wakionesha mikataba yao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya NSSF, Abubakar Rajabu akitoa neno wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...