Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 21, 2013

RAIS AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia katika  Kijiji cha Kidoti Wilaya  ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe,(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed,(kushoto) na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo Makame Ali Juma,(kulia) pamoja na Viongozi wengine wakati walipotembelea sehemu mbali mbali za madrasa hiyo baada ya kuifungua Rasmi leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Wananchi a Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...