Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 18, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON, DC


 Rais Dkt Jakaya Kiwete  akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
 Rais Dkt Jakaya Kiwete akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta ambaye anachukua nafasi ya Brigedia Jenarali Emamanuel Maganga ambaye amemaliza muda wake.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Emmanuel Swere kwenye hotel ya Ritz Calton wakati alipowasili Washington, DC.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Catherine Kijuu.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mfanyakazi wa Ubalozi, Love Maganga
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Mayor Mlima
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Mariam Mkama.
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Carol Mbilinyi.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakzi wa Ubalozi Rani Servin.
 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Eliud Mbowe.
Balozi wa Heshima kutoka San Francisco California, Ahmed Issa akisalimiana na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh aliyesimama kati ni Sherry Julian (mke wa Ahmed Issa)
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...