Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 22, 2013

MAMIA WAJITOKEZA MKUTANO WA KUDAI MCHAKATO HURU WA KATIBA MPYA

Wafuasi wa CUF wakifuatilia mkutano huo.

Umati wa watu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote uliofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Umati uliojitokeza leo.
 Tunafuatilia kwa makini mkutano.....

 
 Tundu Lissu.
 Mabele Marando.
Mbunge wa Ubungo (Chadema),  John Mnyika.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,  James Mbatia.
 Askofu Kakobe.
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Azaveli Lwaitama. 
Wenyeviti wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ADC, Lucas Limbu  Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...