Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 18, 2013

KAMPUNI YA TOTAL YAZINDUA KITUO CHA PETROLI AFRICANI

Ofisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw.Fadhili Kileo kushoto  na Mkurugenzi mtendaji wa Total Bw. Stephane Gay wakikata utepe kuashilia kuzindua kituo kipya cha petroli cha Africana leo PIcha na mpiga picha wetu

baada ya kufanyika uzinduzi

Picha ya pamoja ya viongozi wa selekari pamoja na maofisa mbalimbali

Kaimu Mkurugenzi wa Shule za Msingi Bi,Sara Mraki akitoa neno la shukrani pamoja na kuwasisitiza walimu waliokabiziwa madawati wayatunze

 Mkurugenzi mtendaji wa Total Bw. Stephane Gay akipeana mkono na Ofisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw.Fadhili Kileo baada ya kukabizi madawati
 Mkurugenzi mtendaji wa Total Bw. Stephane Gay akipeana mkono na Mwalimu wa shule ya msingi Mchikichini Bi,Eliza Chiwamala wakati wa kukabiziwa madawati kwa shule za msingi mkoa wa Dar es salaam zilizotolewa na Total

Baazi ya walimu na wafanyakazi wa seloekarini wakiwa kwenye madawati baada ya kukabiziwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...