Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 26, 2013

SAFARI NATIONAL POOL TEAM WAKIWA MAZOEZINI MOROGORO WAKIJIANDAA KWAAJILI YA MCHUJO


Kocha wa Timu ya Taifa, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Pool (Safari National Pool team) wakati wa mazoezi katika kambi inayoendelea mkoani Morogoro ya mchujo wa kupata wachezaji 8 kati ya 15,watakaowakilisha Tanzania katika fainali za Afrika ziazotarajiwa kufanyika nchini Malawi hivi karibuni.
 Kocha,Denis akielekeza jamabo.
Kikosi cha timu ya Taifa na baadhi ya viongozi.
Mchezaji, Solomoni Eliasi kutoka mkoani Mbeya akifanya mazoezi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...